Mwanaume ni jiwe na wewe ni nazi dada, wawili hawa washindanapo kumjua atakae athirika ni rahisioh kwa hiyo akifanya yeye dunia haimshangai kaka?? Potelea pote
hahahahahaa kua na amani dada
kwa hiyo nilie kaka? Au nifanyeje? Shida ameshazoea, ameota mizizi s mara ya kwanza wala ya pili, nilimfuma huko anaomba watu awafate pm na kuwalazimisha shikamoo zisizo na maana, nimepotezea hayo na hili pia??Mwanaume ni jiwe na wewe ni nazi dada, wawili hawa washindanapo kumjua atakae athirika ni rahisi
Nguvu yako ipo kwenye busara zako wala sio kwenye kupimana ubavu kwamba yeye kafanya na wewe utake kufanya ili mshindane
Subira, hekima na busara inahitajika sana hapa dada. Ungejua nguvu yako kubwa ipo kwenye machozi yako wala usingetaka mashindano. Machozi ya mwanamke huyeyusha miamba. Moyo wa mwanaume waeza lainika kwa chozi lako tu
Kwa vigezo vyote bwana shemeji hapa amekosea ila namtafutia muda niongee nae kwa utuliivu kabisa
aya dada ake
hahahahahahaa
kwa hiyo nilie kaka? Au nifanyeje? Shida ameshazoea, ameota mizizi s mara ya kwanza wala ya pili, nilimfuma huko anaomba watu awafate pm na kuwalazimisha shikamoo zisizo na maana, nimepotezea hayo na hili pia??

Lawama zoote nimezisikia na zinafanyiwa kazi dadakwa hiyo nilie kaka? Au nifanyeje? Shida ameshazoea, ameota mizizi s mara ya kwanza wala ya pili, nilimfuma huko anaomba watu awafate pm na kuwalazimisha shikamoo zisizo na maana, nimepotezea hayo na hili pia??
we hua waongea tu akija unakua upande wake kakwambia tutayamaliza huko juu haujui kaka leo n wiki ya pili niko kwaoLawama zoote nimezisikia na zinafanyiwa kazi dada
ushaniaribia hapa halafu unaondoka unaniachaje achaje kirahisi hivi??Jamani mnatania au mpogi serious cause i see this is serious issue so i must stay away archduke.
ni kwe shemeji nakubali kosaMwanaume ni jiwe na wewe ni nazi dada, wawili hawa washindanapo kumjua atakae athirika ni rahisi
Nguvu yako ipo kwenye busara zako wala sio kwenye kupimana ubavu kwamba yeye kafanya na wewe utake kufanya ili mshindane
Subira, hekima na busara inahitajika sana hapa dada. Ungejua nguvu yako kubwa ipo kwenye machozi yako wala usingetaka mashindano. Machozi ya mwanamke huyeyusha miamba. Moyo wa mwanaume waeza lainika kwa chozi lako tu
Kwa vigezo vyote bwana shemeji hapa amekosea ila namtafutia muda niongee nae kwa utuliivu kabisa
babe acha na hili lipiteulivyoyaanzisha ndivo utakavoyamaliza
Kuna kosa dada alilifanya ikapelekea wewe ku act in such a way Bwana shemeji? Ni lipi hilo maana hukuwahi nikushtakiadada yako ndio chanzo wa yote haya mpaka kufikia hapa
YES! Na ndo maana nikakuambia tutamaliza wenyewe bwana shemeji, ila madame yeye muda wote anahisi kuonewa tuKuna kosa dada alilifanya ikapelekea wewe ku act in such a way Bwana shemeji? Ni lipi hilo maana hukuwahi nikushtakia
Au labda sijaelewa?
Unatakaje??ushaniaribia hapa halafu unaondoka unaniachaje achaje kirahisi hivi??