Hivi ni waulize swali nyie wanawake

Hivi ni waulize swali nyie wanawake

That's good to hear... mimi nipo shemlake! Nambie
huko mishe niaje!!?
Ila tumevamia uzi wawatu walahi vipi Madame anakuhonga Teh ! nipo ndani ya uzi

cc Smart911
ahahaha we unataka niseme ndiyo halafu watu wakapange foleni pm sisemi mimi....madame anihongi me najipimia tu mwenyewe sasa sijui ndo kuhongwa au vp tafuta jibu mwenyewe hapo ahahahahaha

mishe poa Mungu anasaidia
 
Jamani mnatania au mpogi serious cause i see this is serious issue so i must stay away archduke.
 
ahahaha we unataka niseme ndiyo halafu watu wakapange foleni pm sisemi mimi....madame anihongi me najipimia tu mwenyewe sasa sijui ndo kuhongwa au vp tafuta jibu mwenyewe hapo ahahahahaha

mishe poa Mungu anasaidia

That's good.. wanaume yawapasa mtiii mamlaka bana ndomana mtoa mada anawachukia wanaume wapenda mteremko......

hio si kuhongwa bana ni wajibu wetu in return....

cc Smart911

cc Smart911
 
Back
Top Bottom