Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,526
et eh?? We sawa tubabe relax
et eh?? We sawa tubabe relax
Mapenzi ya wenzio yanakuhusu nini??Wadada mnachafuliwa na wakaka kila mahali hata hamna haya.
Mkimaliza kuchafuliwa eti mnaenda kwenye pochi zenu babe chukua hii pesa nunua chochote unachokipenda hata haya hamna.
Nimechukia mpaka nimewaonea huruma.
Kumpigia mwanaume simu ukamjulia hali sio mbaya.
Ubaya niile unachapwa double halafu unailipia service.
Hivi mnaofanya hivyo mnaakili huwa eti??
Kwatarifa yenu mtabaki mkionga nakufumania mpaka mzeeke .
Raha ya mapenzi ni kutunzwa.
Kupendwa.
Kujaliwa ndio raha sio kununua service ni aibuuu nyie watu.
Komeni kununua watu bora uwe single kuliko kuhonga ili ujishaue kwa mashoga utakuja ishia kubaya hata kama umeolewa.
#tag acheni tabia hii wanawake mnatoa hela kwa vibenten na wanaume mnaaibikaa .
Kimeniuma nanimetoa dukuduku kikikuuma kunywa panadol au kilevi kutuliza hasira.
Hata kama unahela kivipi kasaidie kwenu ukimaliza ukoo unakusubiri wanashidaa acha kujishaua mjini nahuku kijijini wazazi wanalala njaa.
mbali sana huku mpenzinishafika mimi
chill babeeet eh?? We sawa tu
Nini nawe eti hujaniita nauku uliniambia nifikirie mapema kuhusu ombi lenu.chill babee
ushapata jibu au bado unafikiria??Nini nawe eti hujaniita nauku uliniambia nifikirie mapema kuhusu ombi lenu.
Saizi mnaziriana sio mmh!! Sio vizuro kabisa .
aiseeushapata jibu au bado unafikiria??
sirudi tena katika huu uzi naona utaniletea majangaaisee
Rudi tusirudi tena katika huu uzi naona utaniletea majanga
Acha vitisho nimekubaliiRudi tu
umenirudisha honeyRudi tu
kuwa mke wa pili??Acha vitisho nimekubalii
Ninyi kama mnatakana s muwekane wazi tuAcha vitisho nimekubalii
Bora yashuhudie na wewe kaka
Ngoja nitafte wa kuflirt nayekuwa mke wa pili??
Can two wrongs make one right? Hapana usifanye hivyo dada dunia itakushangaa wewe sasaNgoja nitafte wa kuflirt naye
nimesema naondoka ktk huu uzi ukanirudisha matatizo sitakiNgoja nitafte wa kuflirt naye
shemeji ondoa shaka, tutayamaliza haya usijaliCan two wrongs make one right? Hapana usifanye hivyo dada dunia itakushangaa wewe sasa
Ngoja nifanye hima niitishe kikao cha dharura