Hivi ni waulize swali nyie wanawake

Hivi ni waulize swali nyie wanawake

Wadada mnachafuliwa na wakaka kila mahali hata hamna haya.
Mkimaliza kuchafuliwa eti mnaenda kwenye pochi zenu babe chukua hii pesa nunua chochote unachokipenda hata haya hamna.
Nimechukia mpaka nimewaonea huruma.
Kumpigia mwanaume simu ukamjulia hali sio mbaya.
Ubaya niile unachapwa double halafu unailipia service.
Hivi mnaofanya hivyo mnaakili huwa eti??
Kwatarifa yenu mtabaki mkionga nakufumania mpaka mzeeke .
Raha ya mapenzi ni kutunzwa.
Kupendwa.
Kujaliwa ndio raha sio kununua service ni aibuuu nyie watu.
Komeni kununua watu bora uwe single kuliko kuhonga ili ujishaue kwa mashoga utakuja ishia kubaya hata kama umeolewa.
#tag acheni tabia hii wanawake mnatoa hela kwa vibenten na wanaume mnaaibikaa .
Kimeniuma nanimetoa dukuduku kikikuuma kunywa panadol au kilevi kutuliza hasira.
Hata kama unahela kivipi kasaidie kwenu ukimaliza ukoo unakusubiri wanashidaa acha kujishaua mjini nahuku kijijini wazazi wanalala njaa.
Hujambo kipenzi changu?
 
Hela kama wanatoa wao ww inakuuma nini?acha watoe kama wamenogewa ...yawezkna yy anatoa mara moja kwa mwakaa..yeyw me mwaka mzima anamgharamikia
 
Alafu iyo anayotoa ndio sehemu ya pesa anazopewa na huyohuyo.
 
Wadada mnachafuliwa na wakaka kila mahali hata hamna haya.
Mkimaliza kuchafuliwa eti mnaenda kwenye pochi zenu babe chukua hii pesa nunua chochote unachokipenda hata haya hamna.
Nimechukia mpaka nimewaonea huruma.
Kumpigia mwanaume simu ukamjulia hali sio mbaya.
Ubaya niile unachapwa double halafu unailipia service.
Hivi mnaofanya hivyo mnaakili huwa eti??
Kwatarifa yenu mtabaki mkionga nakufumania mpaka mzeeke .
Raha ya mapenzi ni kutunzwa.
Kupendwa.
Kujaliwa ndio raha sio kununua service ni aibuuu nyie watu.
Komeni kununua watu bora uwe single kuliko kuhonga ili ujishaue kwa mashoga utakuja ishia kubaya hata kama umeolewa.
#tag acheni tabia hii wanawake mnatoa hela kwa vibenten na wanaume mnaaibikaa .
Kimeniuma nanimetoa dukuduku kikikuuma kunywa panadol au kilevi kutuliza hasira.
Hata kama unahela kivipi kasaidie kwenu ukimaliza ukoo unakusubiri wanashidaa acha kujishaua mjini nahuku kijijini wazazi wanalala njaa.
😂😂😂😂We unataka upewe tu usitoe pambana na toi la mboo sasa ukijiraisi uraisishwa. Mbn simple tu
 
Back
Top Bottom