Hivi ni waulize swali nyie wanawake

Hivi ni waulize swali nyie wanawake

YES! Na ndo maana nikakuambia tutamaliza wenyewe bwana shemeji, ila madame yeye muda wote anahisi kuonewa tu

nikianza kushtaki mimi hapa tutajaza server bwana shemeji naachaga yapite tu.

Umeelewa vizuri bwana shemeji

Hebu fanya kila njia uyamalize shemeji, mimi naamini kilakitu hapa kiko ndani ya uwezo wako na kwa mamlaka uliyopewa utatumia
busara na hekima kuyamaliza faster na kwa amani kabisa
 
Viben10 vinachipukia na vinakua nguvu za kukuna vizuri...unafikiiri wenzio wanapenda kutoa hela? hawapendi ila service inajiendesha yenyewe...btw, uchafu unaouzungumzia ni upi?
 
YES! Na ndo maana nikakuambia tutamaliza wenyewe bwana shemeji, ila madame yeye muda wote anahisi kuonewa tu

nikianza kushtaki mimi hapa tutajaza server bwana shemeji naachaga yapite tu.

Umeelewa vizuri bwana shemeji
hahaha ujue watu watajua me na ww tuna ugomv kweli hebu tuache hizi habar sawa eh
 
Back
Top Bottom