Hivi ni waulize swali nyie wanawake

Hivi ni waulize swali nyie wanawake

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,762
Wadada mnachafuliwa na wakaka kila mahali hata hamna haya.
Mkimaliza kuchafuliwa eti mnaenda kwenye pochi zenu babe chukua hii pesa nunua chochote unachokipenda hata haya hamna.
Nimechukia mpaka nimewaonea huruma.
Kumpigia mwanaume simu ukamjulia hali sio mbaya.
Ubaya niile unachapwa double halafu unailipia service.
Hivi mnaofanya hivyo mnaakili huwa eti??
Kwatarifa yenu mtabaki mkionga nakufumania mpaka mzeeke .
Raha ya mapenzi ni kutunzwa.
Kupendwa.
Kujaliwa ndio raha sio kununua service ni aibuuu nyie watu.
Komeni kununua watu bora uwe single kuliko kuhonga ili ujishaue kwa mashoga utakuja ishia kubaya hata kama umeolewa.
#tag acheni tabia hii wanawake mnatoa hela kwa vibenten na wanaume mnaaibikaa .
Kimeniuma nanimetoa dukuduku kikikuuma kunywa panadol au kilevi kutuliza hasira.
Hata kama unahela kivipi kasaidie kwenu ukimaliza ukoo unakusubiri wanashidaa acha kujishaua mjini nahuku kijijini wazazi wanalala njaa.
 
Kukiwasha huko chini unaweza tamani ukunwe na yeyote tu hata mbwa

Kwa nini asihonge ainjoy kukunwa kitumbua chake

Acha zako kama huna hela subiri uhongwe

Waache wenye hela zao wahonge , watumbue maisha

Nenda India mwanamke ndo anatoa mahali
 
Ndio ila wakianza maisha mwanaume ndio anahudumiwa.
 
Wadada mnachafuliwa na wakaka kila mahali hata hamna haya.
Mkimaliza kuchafuliwa eti mnaenda kwenye pochi zenu babe chukua hii pesa nunua chochote unachokipenda hata haya hamna.
Nimechukia mpaka nimewaonea huruma.
Kumpigia mwanaume simu ukamjulia hali sio mbaya.
Ubaya niile unachapwa double halafu unailipia service.
Hivi mnaofanya hivyo mnaakili huwa eti??
Kwatarifa yenu mtabaki mkionga nakufumania mpaka mzeeke .
Raha ya mapenzi ni kutunzwa.
Kupendwa.
Kujaliwa ndio raha sio kununua service ni aibuuu nyie watu.
Komeni kununua watu bora uwe single kuliko kuhonga ili ujishaue kwa mashoga utakuja ishia kubaya hata kama umeolewa.
#tag acheni tabia hii wanawake mnatoa hela kwa vibenten na wanaume mnaaibikaa .
Kimeniuma nanimetoa dukuduku kikikuuma kunywa panadol au kilevi kutuliza hasira.
Hata kama unahela kivipi kasaidie kwenu ukimaliza ukoo unakusubiri wanashidaa acha kujishaua mjini nahuku kijijini wazazi wanalala njaa.
we ni ME au KE?
 
Back
Top Bottom