Hivi ni vifaa vya kutunzia maji kipi umekitumia tangu utotoni?

Mimi sikutumia mtungi kwamaana tulikuwa mjini. Hatukutumia hicho kifaa cha mzungu kwamaana havikuaga kipindi hicho. nimetumia ndoo hii hapa chini, ndoo za sido.

steel-bucket.jpg
 
Mimi sikutumia mtungi kwamaana tulikuwa mjini. Hatukutumia hicho kifaa cha mzungu kwamaana havikuaga kipindi hicho. nimetumia ndoo hii hapa chini, ndoo za sido.

steel-bucket.jpg
Aisee nimekumbuka mbali mnoo
 
nimeanza tumia maji ya mtungi toka miaka ya 60s mpaka 80s baada ya hapo ndoo, then miaka ya 20s water dispesors, Allah kareem sasa nakunywa Mineral water .... nimetoka mbali
 
No ukimwi

hahahahh.....!!!
true mkuu.....!!!
huwa nafikia sehem naona
hakuna sehemu au kitu kilicho salama katika dunia hii.....
some times nahic dunia nzito sana kama ipo juu ya mabega yangu.....
MUNGU NISAIDIE
 
Back
Top Bottom