Hivi ni vidonge GANI?

Truvada hizo mkuu! HIV au hepatitis, zote hizo hazitibiki ni kupunguza makali tu
 
Asante mkuu me sijalala nae kweli kbas sijala nae ila nimeviona tuuh mkuu
 
Ni aina mpya na bora kabisa za ARVs.
 
Mhhh we achana na watu wa humu ndani utakufa na pressure
 
Nilishakula demu akawa analazimisha Sana nivae two condoms nikavaa,huyu aliniomba msaada nikamsaidia halafu nikamwomba penzi akawa anagoma goma baadaye akaniambia sharti nivae condom double,nilivaa nikamla baadaye akaniambia ukweli,
Sasa double kuna ladha yoyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…