LOCAL SPONSOR
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 385
- 695
Mimi ni mhanga wa hili, Airtel waliuza line yangu niliyotumia kwa zaidi ya miaka 10 ( Toka ikiwa Celtel, baada Zain na hatimae Airtel ) kwa kutoitumia kwa miezi miwili tu!mimi najipigiaga nikijiskia.
airtel wanaongoza kwa huu ujinga line isipokua hewani hata week3 ujue umeumia.
utaanza kupigia mtu yuko mahenge akutumie code za whatsapp