Hivi ni nini maana ya mapenzi?

Hivi ni nini maana ya mapenzi?

Mapenzi yana tofauti na Upendo we unahitaji tafsiri ipi haswa?
 
Mapenzi ni kupenda, kutamani, kutaka kitu, MTU au hali sasa je wewe unataka mapenzi yepi kati ya hay nikufafanulie
 
Kukubaliana na kitu hata kma ni kibaya au hakipendwi na watu lkn bnafs ww unakpnda ktka moyon
 
Ngoja nisubiri maybe nitapata the best definition
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom