Hivi ni nani mwenyekiti wa jf dar?

Hivi ni nani mwenyekiti wa jf dar?

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
492
Nimekuwa nikifuatilia sana jinsi huko mikoani wana JF walivyo na umoja wao kama vile Mza, Arusha, Tanga na kwingineko, ila kwa hapa Bongo naona kama kutambuliana ni kwa baadhi ya vigenge fulani tu kama wale wa UDSM,waliowahi kusoma pamoja ambao wanafahamiana before na wengine wa urafiki wa kaiwaida. Je, hii kwetu imekaaje?

TAFAKARI.
 
NI BABU WA ''leo tupo hapa pub ''a.k.a kaka yake Mtambuzi ndie anayekaimu nafasi ya uenyekiti kwa Dar yuko kwake kule mwananyamala.pale kwake utapata huduma za kila aina kimwili na kiroho ukifika hapao mbingu unaiona kwa karibu sana yaaki kama 1km na zote unapewa umiliki wewe .
 
Last edited by a moderator:

Mwenyekiti kasharejeshwa kwao...chezeya Operesheni Kimbunga...yale mapost ya jana ndio alikuwa anaaga vile
 
jf bongo is diversified!
Bishanga umehakikisha navaa katambuga eenh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom