Hivi ni mimi pekee nateseka na mapenzi?

Umomi

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
677
983
Jamani ninavyoendelea niweza kupoteza maisha. Katika pitapita zangu nimedumbukia mahala ambapo nimezama mzima mzima mpaka kutoka nashindwa. Kuna binti kweli nampenda jamani. Ikipita cku sijaongea naye naumia roha mpaka siwezi kuelezea.

Nisaidieni mbinu za kuachana naye make nitakuja kufa kwajili yake. Siyo kwamba hakuna wengine ila hata nikiwa na wengine bado tu namkumbuka yeye. Au kaniwekea rimbwata?
 
Pole boss..... Ila jifunze kuiambia akili yako kuwa inatosha.....

Mimi yamewahi nikuta lakini nikiamua kuyaacha naacha, mfano Leo kasafiri lakini hapokei simu mpaka sasa na yupo online WhatsApp kabadilisha status, na alikoenda ndipo ex wake alipo

Kikubwa kubali hakuna kitu muhimu kama pumzi uliyonayo, hayo mengine ni ziada
 
Jamani ninavyoendelea niweza kupoteza maisha. Ktk pitapita zangu nimedumbukia mahala ambapo nimezama mzima mzima mpaka kutoka nashindwa. Kuna binti kweli nampenda jmn. Ikipita cku sijaongea naye naumia roha mpaka siwezi kuelezea.

Nisaidieni mbinu za kuachana naye make nitakuja kufa kwajili yake. Siyo kwamba hakuna wengine ila hata nikiwa na wengine bado tu namkumbuka yeye. Au kaniwekea rimbwata?

Kwani mmeachana?kwanini unateseka?
 
Ninakuelewa mkuu katika hilo.
Jaribu kulishinda hilo, nimepitia hali hiyo, huwa nikipenda napenda kweli kweli
 
Kitu kinachokufanya utake kumkimbia? Kama unampenda sana basi kuna sababu zinazokufanya umpende hivyo. Naye anakupenda sana? Usikimbie tu kwa kuwa unampenda sana au vinginevyo atapata mtu mwingine ukirudi unakuta njemba nyingine imeshaweka NANGA.

Jamani ninavyoendelea niweza kupoteza maisha. Ktk pitapita zangu nimedumbukia mahala ambapo nimezama mzima mzima mpaka kutoka nashindwa. Kuna binti kweli nampenda jmn. Ikipita cku sijaongea naye naumia roha mpaka siwezi kuelezea.

Nisaidieni mbinu za kuachana naye make nitakuja kufa kwajili yake. Siyo kwamba hakuna wengine ila hata nikiwa na wengine bado tu namkumbuka yeye. Au kaniwekea rimbwata?
 
Ningekuwa Mimi sifikirii hata kumuacha ndo ningetopea zaidi na zaidi nakuwa kama mtu aliefukiwa kiwiliwili kwenye shimo halafu kimebaki kichwa tu ndo kinakodoa..😂😂

Hapo akikuacha unafanya ile kitu inaiwa tit for tat.. siku anakuacha ndio siku unaanzisha mahusiano mengine ili uwe bize na mahusiano mengine kuliko kuwa bize maumivu.. wanakwambia Kinga ni bora kuliko tiba..😂😂😜
 
Back
Top Bottom