Hivi ni Malipo yapi yalilipwa Tz bila malalamiko? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni Malipo yapi yalilipwa Tz bila malalamiko?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sungurampole, Feb 7, 2011.

 1. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  Sina uhakika na yale ya shanga ya wakati wa Mangungu.

  1. Labda nianzie ya wastaafu wa EAC(1977:-() leo ni zaidi ya miaka 34 bado wazee hawa wanalala barabarani kushinikiza malipo yao - tunaambiwa wenzao wa nchi nyingine wamelipwa siku nyingi zilizopita.

  2. Fidia za upanuzi wa barabara, viwanja vya ndege n.k. Lazima usikie malalamiko yasiyoisha..

  3. Wahanga wa mabomu ya Mbagala -ndiko haswa shida ziliko. Wakati serikali inafunga/hitimisha, wahanga wanasema mambo bado mabichi.

  4. Nakumbuka waliopisha wawekezaji Kibamba na kwingineko. Kesi hazijaisha..

  5. Pensheni za huko NSSF na PPF usiseme┬ůmalalamiko hayaishi

  6. Karibuni tumesikia makaburi ya Kiyeuyeu tuliambiwa wamelipwa 5m lakini wenyewe wanasema bado -vipi?

  HEBU TUTAFAKARI SHIDA NI NINI?

  Hivi kwa nini malipo yatusumbue sisi watanzania tu?

  Wapi tumepinda????

  :thinking:
   
Loading...