Hivi ni lazima kuipenda CCM?

wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
2,932
4,534
Wahanga wa misukosuko wa serikali za CCM zilizopita na iliyopo ni wengi,hakuna jipya kwa serikali ya rais Magufuli,anachofanya ni kupita njia hiyo hiyo waliopitia watangulizi wake japokuwa kila mmoja kwa staili yake.

Jenerali Ulimwengu alijikuta akiishi ndani ya taifa alilozaliwa na kukulia kwa kulipia kibali kila mwaka,si hivyo tu,Ulimwengu aliwahi kuwa mkuu wa wilaya ya Ngara,lakini aliponzwa na kalamu yake baada ya kuanza kuikosoa serikali,papo hapo ikabainika kuwa huyo hakuwa raia halali wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Kama mtu aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya,yaani msaidizi mkuu wa rais wilayani alikiona cha moto ije kuwa Abdul Nondo tu?

Hakuna anayeweza kukutamkia hadharani kuwa ni lazima uwe CCM,na usijaribu kwa namna yoyote ile kuikosoa CCM na serikali yake.

Mambo yanayoendelea tu yanatosha kukupatia jibu tosha kabisa kuwa,kuikosoa CCM na serikali yake ni kwamba hujipendi.

Kwa hiyo ni lazima uipende CCM tu.
Kakobe amehubiri neno la Mungu miaka nenda rudi akiwa hapa hapa Tanzania,Kakobe ni maarufu sana na alikuwa akihubiri kwenye TV na kuonekana nchi nzima.

Baada ya kumtaka rais Magufuli atubu dhambi zake,tayari uraia wa Kakobe unatia mashaka ,halafu kuna watu wanashangilia mambo ya ajabu na huzuni yanayoendelea nchini.

Kila anayeikosoa serikali ni lazima limkute la kumkuta,jamani endeleeni kushangilia na kufurahia tu,ila mkumbuke kuwa hii meli tumepanda sote,inatobolewa mnacheka kwa kejeli,na wakati ikizama tunazama wote.
 
Naipenda sana kanuni ya madada poa.... Ama wale mabinti wanaokubali kulala na watu wasiowapenda.... Wao wanaangalia hasi na chanya... Kama chanya inazidi hasi wanachojoa bila kipingamizi na tabasamu bandia kumbe mioyoni mwao wanavuja sumu ya ubaya... Wanafanya kwasababu!
 
FB_IMG_15211172987515922.jpg
 
sasa hivi wananeno lao wanalipenda kweri "UZALENDO"....ukiongea ukwer unaambiwa siyo raia wa tz....Yaani sasa hvi utabidi uwe na vyeti vya kuzaliwa hadi vya mabibi na mababu la sivyo utaambiwa kwenu somalia iwe shida.
 
Kama huipendi CCM na ukasema wazi wazi tegemea kutembelewa na
Mambosasa au Muroto
TRA
MAMLAKA YA LESENI
Nissan nyeupe
Bashite,Hapi,Mnyeti au RC wa Mtwara
Watu wasiojulikana
 
Zama hizi uzalendo ni kuishabikia ccm,hata ikiwa na kwa unafki tuu kama afanyavyo professor mkumbo na professor kabudi.
 
Wahanga wa misukosuko wa serikali za CCM zilizopita na iliyopo ni wengi,hakuna jipya kwa serikali ya rais Magufuli,anachofanya ni kupita njia hiyo hiyo waliopitia watangulizi wake japokuwa kila mmoja kwa staili yake.
Jenerali Ulimwengu alijikuta akiishi ndani ya taifa alilozaliwa na kukulia kwa kulipia kibali kila mwaka,si hivyo tu,Ulimwengu aliwahi kuwa mkuu wa wilaya ya Ngara,lakini aliponzwa na kalamu yake baada ya kuanza kuikosoa serikali,papo hapo ikabainika kuwa huyo hakuwa raia halali wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kama mtu aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya,yaani msaidizi mkuu wa rais wilayani alikiona cha moto ije kuwa Abdul Nondo tu?
Hakuna anayeweza kukutamkia hadharani kuwa ni lazima uwe CCM,na usijaribu kwa namna yoyote ile kuikosoa CCM na serikali yake.
Mambo yanayoendelea tu yanatosha kukupatia jibu tosha kabisa kuwa,kuikosoa CCM na serikali yake ni kwamba hujipendi.
Kwa hiyo ni lazima uipende CCM tu.
Kakobe amehubiri neno la Mungu miaka nenda rudi akiwa hapa hapa Tanzania,Kakobe ni maarufu sana na alikuwa akihubiri kwenye TV na kuonekana nchi nzima.
Baada ya kumtaka rais Magufuli atubu dhambi zake,tayari uraia wa Kakobe unatia mashaka ,halafu kuna watu wanashangilia mambo ya ajabu na huzuni yanayoendelea nchini.
Kila anayeikosoa serikali ni lazima limkute la kumkuta,jamani endeleeni kushangilia na kufurahia tu,ila mkumbuke kuwa hii meli tumepanda sote,inatobolewa mnacheka kwa kejeli,na wakati ikizama tunazama wote.

Mku ni jambo lenye ukweli wenye uchungu sana hapa tulikofikia sio pazuri kabisa
 
Naipenda sana kanuni ya madada poa.... Ama wale mabinti wanaokubali kulala na watu wasiowapenda.... Wao wanaangalia hasi na chanya... Kama chanya inazidi hasi wanachojoa bila kipingamizi na tabasamu bandia kumbe mioyoni mwao wanavuja sumu ya ubaya... Wanafanya kwasababu!
FB_IMG_1511591931126.jpg
 
Wabaguzi ndivyo walivyo Mkuu ni watu wa hovyo sana na wa hatari. Ukihoji na kukosoa basi utaitwa mchochezi na kumbambikiwa kesi mbaya ya uhaini na kubambikiwa kwamba wewe si Mtanzania hii yote ni kutisha watu na kuminya uhuru wa Watanzania katika kuhoji udhalimu, dhluma na maovu mbali mbali.

Wahanga wa misukosuko wa serikali za CCM zilizopita na iliyopo ni wengi,hakuna jipya kwa serikali ya rais Magufuli,anachofanya ni kupita njia hiyo hiyo waliopitia watangulizi wake japokuwa kila mmoja kwa staili yake.
Jenerali Ulimwengu alijikuta akiishi ndani ya taifa alilozaliwa na kukulia kwa kulipia kibali kila mwaka,si hivyo tu,Ulimwengu aliwahi kuwa mkuu wa wilaya ya Ngara,lakini aliponzwa na kalamu yake baada ya kuanza kuikosoa serikali,papo hapo ikabainika kuwa huyo hakuwa raia halali wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kama mtu aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya,yaani msaidizi mkuu wa rais wilayani alikiona cha moto ije kuwa Abdul Nondo tu?
Hakuna anayeweza kukutamkia hadharani kuwa ni lazima uwe CCM,na usijaribu kwa namna yoyote ile kuikosoa CCM na serikali yake.
Mambo yanayoendelea tu yanatosha kukupatia jibu tosha kabisa kuwa,kuikosoa CCM na serikali yake ni kwamba hujipendi.
Kwa hiyo ni lazima uipende CCM tu.
Kakobe amehubiri neno la Mungu miaka nenda rudi akiwa hapa hapa Tanzania,Kakobe ni maarufu sana na alikuwa akihubiri kwenye TV na kuonekana nchi nzima.
Baada ya kumtaka rais Magufuli atubu dhambi zake,tayari uraia wa Kakobe unatia mashaka ,halafu kuna watu wanashangilia mambo ya ajabu na huzuni yanayoendelea nchini.
Kila anayeikosoa serikali ni lazima limkute la kumkuta,jamani endeleeni kushangilia na kufurahia tu,ila mkumbuke kuwa hii meli tumepanda sote,inatobolewa mnacheka kwa kejeli,na wakati ikizama tunazama wote.
 
Wabaguzi ndivyo walivyo Mkuu ni watu wa hovyo sana na wa hatari. Ukihoji na kukosoa basi utaitwa mchochezi na kumbambikiwa kesi mbaya ya uhaini na kubambikiwa kwamba wewe si Mtanzania hii yote ni kutisha watu na kuminya uhuru wa Watanzania katika kuhoji udhalimu, dhluma na maovu mbali mbali.
Haya yote yatapita Mkuu usiwaze !!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hilo nalijua Mkuu lakini bila kukemea upuuzi huu watu watachezea mvua nyingi na wengine kufukuzwa nchini huku kukiwa hakuna nchi ya kuwakubali. Kuna Mtanzania mmoja wamemvua uraia kisa tu ana jina linalofanana na majina ya Kenya juzi mahakama ya Afrika Mashariki imeamuru arudishiwe uraia wake maana hata Kenya walimkataa kwamba si raia wao.

Hadi kakobe kaitwa uhamiaj ... WTF .. ujinga sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom