Hivi ni lazima kuipenda CCM?

Hivi ni lazima kuipenda CCM?

Kama huipendi CCM na ukasema wazi wazi tegemea kutembelewa na
Mambosasa au Muroto
TRA
MAMLAKA YA LESENI
Nissan nyeupe
Bashite,Hapi,Mnyeti au RC wa Mtwara
Watu wasiojulikana
Uhamiaji
 
Mbumbumbu wa ccm wamechanganikiwa awajitambui wanalopoka ovyo ...wananuka wizi tamaaa
 
Wale wa kibiti sikutamani wapotee kabisa
 
CHADEMA MMEMTAARIFU MWANASHERIA MKUU WENU HUKO ALIKO? BOMBARDIA ALOSEMA HAITOKUJA, LEO JUMATATU TAREHE 02.4.2018 SAA 11 JIONI IMETUA DAR, KARIBU TUNDU LISU UIONE AU ULIFUNGA TBC ONE USIONE?
Hilo 9 kumi 10 la kukamata wanakijiji wakafyeke bangi kana kwamba bangi imepandwa na kijiji
 
Wahanga wa misukosuko wa serikali za CCM zilizopita na iliyopo ni wengi,hakuna jipya kwa serikali ya rais Magufuli,anachofanya ni kupita njia hiyo hiyo waliopitia watangulizi wake japokuwa kila mmoja kwa staili yake.
Jenerali Ulimwengu alijikuta akiishi ndani ya taifa alilozaliwa na kukulia kwa kulipia kibali kila mwaka,si hivyo tu,Ulimwengu aliwahi kuwa mkuu wa wilaya ya Ngara,lakini aliponzwa na kalamu yake baada ya kuanza kuikosoa serikali,papo hapo ikabainika kuwa huyo hakuwa raia halali wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kama mtu aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya,yaani msaidizi mkuu wa rais wilayani alikiona cha moto ije kuwa Abdul Nondo tu?
Hakuna anayeweza kukutamkia hadharani kuwa ni lazima uwe CCM,na usijaribu kwa namna yoyote ile kuikosoa CCM na serikali yake.
Mambo yanayoendelea tu yanatosha kukupatia jibu tosha kabisa kuwa,kuikosoa CCM na serikali yake ni kwamba hujipendi.
Kwa hiyo ni lazima uipende CCM tu.
Kakobe amehubiri neno la Mungu miaka nenda rudi akiwa hapa hapa Tanzania,Kakobe ni maarufu sana na alikuwa akihubiri kwenye TV na kuonekana nchi nzima.
Baada ya kumtaka rais Magufuli atubu dhambi zake,tayari uraia wa Kakobe unatia mashaka ,halafu kuna watu wanashangilia mambo ya ajabu na huzuni yanayoendelea nchini.
Kila anayeikosoa serikali ni lazima limkute la kumkuta,jamani endeleeni kushangilia na kufurahia tu,ila mkumbuke kuwa hii meli tumepanda sote,inatobolewa mnacheka kwa kejeli,na wakati ikizama tunazama wote.
Hadi 2020 kuna watu mtatembea uchi hapa Tz
 
Nimeipenda hii hakuna na polisi kufyeka bange...... Kijiji kizima Chini ya mtutu wa bunduki,,, nambie kichapo cha hapo....
 
CHADEMA MMEMTAARIFU MWANASHERIA MKUU WENU HUKO ALIKO? BOMBARDIA ALOSEMA HAITOKUJA, LEO JUMATATU TAREHE 02.4.2018 SAA 11 JIONI IMETUA DAR, KARIBU TUNDU LISU UIONE AU ULIFUNGA TBC ONE USIONE?
Wewe nawe, kaf...rwe na bashite uko, pumbavu zako,
 
Back
Top Bottom