kukumsela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 721
- 907
Habari za asubuhiii bila shakaa wote ni wazima wa afya wakuu, kwa heshima na taadhima naomba kuuliza hivi ni kweliii hizi nguo za mitumba tunazovaa hutupwa kwenye maeneo ya takataka lkn baadae kampuni mbalimbali huzichukua na kuzisafirisha mpk huku kwetu africa. Naomba kuwasilisha wakuu
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app