Hivi ni kweli?

We utamuimbishaje mtoto wa kike halafu umwambie madhaifu yako? Atakukubalia kama labda hajitambui...
 
Kwahiyo hakuna anayesema ukweli kwenye mahusiano mkuu?

Huwezi ukasema ukweli kwa mara ya kwanza kumeet na kutalk naye kwasbb unaweza usimpate,ukweli mwambie mkishazoeana kabisa...
 
Nashindwa kupost kwny hii thread kwasababu nina machungu ua Kutendwa.
 
Sijawahi kusikia mwanamke ameachana na mwanaume zaidi ya cheating! Ivi wanaume wote tuna cheat?

There's more than cheating. Mara nyingi sisi wanawake huwa tunasamehe mwanaume akicheat. Kuna mijanadume mikatili hamjawahi ona. Ngoja nisiseme sana maana...
 
asilimia kubwa ya wanaume niwa gumu kusamehe wao mara kibao wanapewa msamaha lakin mwanamke akikosea sasa ni hakuna maelezo ndo so long.
 
There's more than cheating. Mara nyingi sisi wanawake huwa tunasamehe mwanaume akicheat. Kuna mijanadume mikatili hamjawahi ona. Ngoja nisiseme sana maana...

Sema bana sasa ndio nini kuishia njiani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…