Mi nasema ukweli tu....ila wengi waoga wa kusema ukweli kwasababu walio wengi wana fear ukweli na ndio maana wanajikweza mfano mtu wako akwambie nilicheat au nilikuwa malaya hivi kweli utataka kuendelea nae?
Kama ulicheat au kufanya umalaya ndani ya uhusiano wetu hapo lazima nitakupiga kibuti.
Vp mwanzo wa mahusiano utaficha pia?
Kama ulicheat au kufanya umalaya ndani ya uhusiano wetu hapo lazima nitakupiga kibuti.
Ndio maana huwa tunadanganya.............
Siku zote ukweli utakuweka huru....
some secrets we take them to the grave
hayo mambo ya ukweli utaniweka huru ni maneno tu hata kwenye kanga yapo
Kwahiyo utanidanganya? You break my heart arrgrrr
Mmmhh!! Inawezekana..
Ukinieleza mwanzo wala sina tatizo bana.
Sijawahi kusikia mwanamke ameachana na mwanaume zaidi ya cheating! Ivi wanaume wote tuna cheat?
hahahaha! ukweli unauma tunapendelea kuambiana uomgo ili uonewe huruma usitendweHebu jaribu kusema wewe ndiye mtenda uone kama utapata mtu.....