Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
Eti CHETI cha kupewa bure bila kufanya mitihani ni CHETI cha NDOA tu, MITIHANI inakuja baadaye...
Eti CHETI cha kupewa bure bila kufanya mitihani ni CHETI cha NDOA tu, MITIHANI inakuja baadaye...
Siyo kweli, nenda kawaulize baadhi ya wadada ambao hawajaolewa na baadhi ya wakaka ambao hawajaoa wakusimulie ugumu wa kumpata mtu wa kufunga nao ndoa! Na kama unataka ushahidi ona ongezeko la thread za natafuta mke/mume/mpenzi wa kweli/mtu aliye siriaz kuoa/kuolewa zinavyoongezeka ndo utajua ugumu wa hiyo kitu ...
Labda cheti cha bure kinaweza kuwa ni cha kifo ... Maana saa nyingine huja wakati huna mapango wa kuiacha hii dunia ingawa pia kuna wachache ambao hujitanguliza wenyewe mbele za haki kwa kujiua!
si kweli na sio cha bure tena mitihani ni migumu kuliko ya CPA AU NBMM
lazima nini sema tu.
kabla ya cheti mitihani ipo ila si migumu
baada ya cheti ndio shughuli inapoonekana
mitihani inaongezeka tena migumu balaaa!mtu
unajuta kupokea cheti atiiii!!!!!
Huwa ni migumu sema tu mitihani kabla ya ndoa unaweza ukaikimbia maana bado unakuwa na fursa ya kufanya mitihani minginekabla ya cheti mitihani ipo ila si migumu
baada ya cheti ndio shughuli inapoonekana
mitihani inaongezeka tena migumu balaaa!mtu
unajuta kupokea cheti atiiii!!!!!