Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
Siyo kweli, nenda kawaulize baadhi ya wadada ambao hawajaolewa na baadhi ya wakaka ambao hawajaoa wakusimulie ugumu wa kumpata mtu wa kufunga nao ndoa! Na kama unataka ushahidi ona ongezeko la thread za natafuta mke/mume/mpenzi wa kweli/mtu aliye siriaz kuoa/kuolewa zinavyoongezeka ndo utajua ugumu wa hiyo kitu ...
Labda cheti cha bure kinaweza kuwa ni cha kifo ... Maana saa nyingine huja wakati huna mapango wa kuiacha hii dunia ingawa pia kuna wachache ambao hujitanguliza wenyewe mbele za haki kwa kujiua!
HorsePower:Unaukweli katika hoja yako.Ila mkuu nasikia hao wanaotafuta sasa ke au me wakishaingia kuna wengine wao wengi tu usishangae wanatamani tena kutoka...kama mzinga wa nyuki!
Passion Lady:asante kwa kufunguka kiukweli...nmekufagiliaje?haha
Huwa ni migumu sema tu mitihani kabla ya ndoa unaweza ukaikimbia maana bado unakuwa na fursa ya kufanya mitihani mingine
Hiyo ni topic pana, ya kwanini baadhi ya walio ktk ndoa wanatamani kutoka na kurudi kuwa single. Tulisha ijadili sana humu jamvini, nachelea kuirudia maana nitawabore watu. Ila sababu mojawapo ndo hiyo kuwa kwa sababu ya ugumu wa kupata mwenza, baadhi ya watu husukumwa kujitosa kuoa/kuolewa na mtu bila kufanya uchunguzi wowote au kuzifahamu tabia zake vzr. Baadaye wanapokuja kuanza kuishi pamoja ndipo hugundua kuwa anayeishi naye hana tabiaau mwenendo alioutarajia na hivyo migogoro huanza, amani kutoweka na kisha safari ya kurudi kuwa single huanzia hapo. Ila wenye haya matatizo siyo wengi kiasi cha kukutisha ..... Saa nyingine maneno ya watu hukatisha tamaa, lakini unayo nafasi kama ukitaka ya kutengeneza ndoa na maisha yako ya baadaye yenye amani na furaha kama bado haujafanya hivyo!
ukweli siku zote unaniweka
huru Chipolopolo!
hahaaaa!kuna fursa
ya kufanya mitihani mingine kumbe
si tutakimbia wengi tulio ndoani!
Chipolopolo.. unafikiri kuna mtihani mgumu katika maisha kama mtihani wa kuangusha sahihi kukubali kuishi na mtu for the rest of ya life.. Kwa mabaya/mazuri, kwa afya/ugonjwa, umaskini/utajiri n.k.
Asikwambie mtu.. Hakuna mtihani mgumu kama kuchagua/kumpata mwenzi wa maisha.. (Ndio maana kuna maandiko mke/mume mwema anatoka kwa Bwana) as wakati mwingine kibinadamu unaona kama si rahisi kumtambua anaekufaa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
na Ruttashobolwa lol!
Wow!Anajidai jamaa huyo huku kitaa ni balaa kumbe ni weye umpaye jeuri?ha
ni mimi
nikicheka natoa passion smell
nikinuna vanilla,nikilia choclate
mwache aringe!
Passion Lady Hapa nilikuwa namaanisha wale ambao hawajafunga ndoa kuwa mtihani ukiwa mgumu unaweza omba kufanya mwingine nikiwa na maana kuwa mtu akikusumbua mkiwa kwenye urafiki au uchumba unaweza kuachana na ukangaalia ustaarabu mwingine ni tofauti na ukiwa kwenye ndoa hali inakuwa tofauti kidogohahaaaa!kuna fursa
ya kufanya mitihani mingine kumbe
si tutakimbia wengi tulio ndoani!
Passion Lady Hapa nilikuwa namaanisha wale ambao hawajafunga ndoa kuwa mtihani ukiwa mgumu unaweza omba kufanya mwingine nikiwa na maana kuwa mtu akikusumbua mkiwa kwenye urafiki au uchumba unaweza kuachana na ukangaalia ustaarabu mwingine ni tofauti na ukiwa kwenye ndoa hali inakuwa tofauti kidogo
Passion Lady: nmeamini.Upendo una nguvu kuliko mauti.Yaani...mmh!
Ha ha ha ha ha ha ha, ila bado unakuwa most wanted na pia mlolongo wake wa kukimbia unahitaji watu wengi kama ilivyofanyika kabla ya kuingia kwenye ndoa na pia ile hadhi ya kuwa mwanandoa haifutiki inabadilishwa jina kidogo tu inabaki kuwa aliyeachika au kuachwa aliolewa au alioa fulani, tofauti na bachelors wao wakishindwana kila mtu anakwenda kivyake hakuna wa kuhojidancani siku hizi hata
tulio kwny ndoa tunakimbia
tena mbio ndefu ajabu yakitushinda!
si ndio maana mapenzi
yana run dunia,kupendana raha bana!
dancani siku hizi hata
tulio kwny ndoa tunakimbia
tena mbio ndefu ajabu yakitushinda!