Inetegemea na Demu gani kama akiwa sio mzuri lazima nimpige chini.
Ndio maana sijawahi kuwa na DEMU kwanza natafuta hela ili nije kupata P.H.A.T Girl,Kupata Smart Girl Mzuri Umbo mpaka Sura inabidi uwe na mkwanja kwanza....Nina Allergy na POLYGON.umeongea point muhimu mnoo, inategemea na sura. Nadhani hao wengi wanaosema wamekataa sura hazikuwa kwenye level zao ama waliona kasoro labda mdada ananuka harufu flani ama kasoro nyengine yyte mbele ya macho yao.
Dah. .....[emoji13]Mi nimeshawakaa wengi tu mbona na walikuja kwa njia ambao.... hadi wengine walilia kama watoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nimependa jibu lakoKwa sababu tunajua maumivu ya kukataliwa ndio maana hatukatai
Haha wanakupiga tunguli ili uwavae moja kwa mojaKusema ukweli mi sikataagi. Nawaambia tu ukweli kuwa ningirl mwingine so akae akijua kbsa. Ila nakuwa makini nao sana. Hwachekewi kukuroga
Mitego yao ya hatariitategemea na ametumia njia ip kuna wengine wanakuja one way to getto hao lazima tunase
Ushawahi kukataliwa?ndio
Duh, inaonekana orodha yako ni ndefu mkuuNapiga chini kyuma mpya karibu kila wiki. Wiki hii tu nimezipiga chini karibu 5 moja ikiwa ni ya mke wa mtu tena mzuri kinoma.
Hhaha zinatafuta wa kufa naeKuna papuchi nyingine zinatafuta pa kufia,
Hata kama hana shepu na sura nzuri hana?Hiv umeshawahi kupewa hela ukakataa ukasema nina mshahara?...bibi kizee tu ndio ntaweza kumkataa
Kwakua tunajua taabu watazozipata tukiwakataaKwa sababu tunajua maumivu ya kukataliwa ndio maana hatukatai
Na yeye atataka ndoaIla wadada wanajua kutongoza sana aisee, usiombe akukute umevaa pete ya ndoa. Huwa nawakataa wajue sikuoa bahat mbaya ila ndio kwanzaa inakuwa kama nmewakaribisha.
Mwanamke anaweza kuvutiwa na vile upo mwaminifu kwenye ndoa/mahusiano yako na yey akataka awe na wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwamba anaujasiri wa kuelezea hisia zake mkuu.hakuna mwanamke namdharau kama wa kujitongozesha! Namuona malaya right away