Hivi ni kweli wanaume hatukatai?

Hivi umeona wapi mtu anataka kukupa Hela eti unakataa na kusema kwamba una mshaharaa....hebu wacha undezi bana tafuna sepaaa
Hhaha. Yani hapo anakua karahisisha kazi.
 
Binafsi siwezi kukataa mwanamke mzuri. Natafuna then mambo mengine yatajulikana mbele kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…