HaiwezekaniHebu weka picha yako tukuone muonekano wako unavyokubeba.
Utakua unahonga sanaMimi huwa sitongozi kabisaa(kwanza siwezi) mambo huwa yanaenda automatic mwishowe unashangaa unaitwa baby
Unabaka?Hakuna kutongoza ni ngwara tu, sasa utakataliwa vipi hapo
Pua ya nani iko hivyo?Mungu mwenyewe anakataliwa sembuse wewe mwenye pua ka kichuguu kilichozeeka
Sent using Jamii Forums mobile app
PoaKama hujawahi kataliwa Itakua unatongoza Malaya au watu wa class ya chini yako sana