Hivi ni kweli unaweza kumtongoza mwanamke akatae?

Applicant

JF-Expert Member
Feb 12, 2020
1,962
1,746
Nasikiaga sana hii, kwamba inaweza ukamtongoza mwanamke akakataa, mimi siamini kabisa, kwanza anaanzaje kukataa?

Au labda kwakua mimi haijawahi kunitokea ndio maana siamini. (inawezekana muonekano unanibeba)

Wakuu hili jambo lipo kweli? Kama wapo wanaume ambao mmewahi kutongoza mwanamke akakataa toeni ushuhuda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom