Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,339
- 3,094
Hii imekaaje jamani...
Leo usiku majira ya sa 8 kasoro niliamka na kutoka nje
Kuna kitu nilisahau nilienda kuchukua hapo nje ( ndani ya fence)
Nilivyofika kwenye varanda la nje sijui nini kilitokea
Mimi nilianguka sehemu ambayo hata mtoto mchanga anayejifunza kutembea hawez kuanguka
Nilianguka ( sikujitambua nikiwa nimelala hapo chini sikua na fahamu yeyote) baada ya dakika kama 30 nilianza kupata fahamu na kujiona nimelala chini varanda la nje
Nilishangaa nimelalaje mahali pale nikakumbuka nilitoka kufata kitu ...sasa kila nilipotaka kuamka nilishindwa as if nakandamizwa chini
Sikua na nguvu kabisa nililegea na kuchoka
Badae sana nikaweza kuamka na kurudi ndani
Kichwa kilikua kizito
Kinauma
Nasikia kizungu zungu na kutapika
Hadi sasa bado najiuliza ilikuaje kuaje bado sijaelewa
Na bado mwili haujakaa sawa
Hii itakua ni nini jamani ?