Hivi ni kweli uchawi upo Duniani ?

Hivi ni kweli uchawi upo Duniani ?

Kwa hili swali tu wewe unamatatizo mawili!, kwanza unahitaji elimu juu ya kuzingatia afya maana kwa hilo lililokupata ulitakuwa uwe umeshaenda hospitali kama haujaenda bado!, pili inatakiwa elimu yakufuta hayo mawazo ya kuwaza uchawi hayo mambo yakiimani ni ubatili mtupu!.
Sawa
 
Kama mtu mwenye vyeti vya kulea vibibi ( diploma in caregiving) ukiamka hutakiwi kusimama au kutembea moja kwa Moja unatakiwa utulie dakika 1 Kwa kukaa halafu ndo utembee au usimame lasivo utadondoka au kuzimia kama age go ( maji ya jioni) au 40+
 
Miili yenu inakuwa laini mno, hamna mazoezi, tena ungeanguka bafuni ungekufa kabisa.

Be strong, fanya mazoezi hakuna cha uchawi hapo.
 
Back
Top Bottom