Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 405
Habari za sasa wasakatonge wa Tanzania?
Habari na uvumi juu ya huyu kijana wa Muheshimiwa J.M.H Kikwete kuwa na utajiri na mali zilizokithiri si ngeni masikioni mwa watanzania wengi hasa wale wa mijini, wasomi na wanasiasa.
Yote tisa, lakini kumi, naomba tukate mzizi wa fitna juu ya huyu kijana mwenzetu, je ni kweli anayotuhumiwa yana ukweli na uhakika?
Je, ni chuki za watu tu?
Asset hasa anazomiliki ka majina yake ambazo zinampa billionairship ni zipi?
Je tukiangalia pia mali anazohisiwa hisiwa ni zipi hizo?
Karibuni ukweli na uwazi..