Hivi ni kweli hakunaga?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli hakunaga??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SnowBall, Oct 17, 2011.

 1. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kama tu katika maisha ya kawaida kuna wakati una'regret' kuwa kwa nini ulifanya hivi na sio vile..mfano..labda kama ni masomo unaweza kusema 'kwa nini nilisoma Sheria badala ya Uchumi'??.. au kwa nini nilinunua gari badala ya kujenga nyumba??..
  Najua yako mazingira huwezi kulaumu sana mfano..'kwa nini nilizaliwa na wazazi hawa na sio wale'??..au kwa nini nilizaliwa mfupi na sio kinyume chake??..
  Labda tuje kwenye mahusiano..HIVI ni kweli HAKUNAGA wakati ambao tuna'REGRET' mfano kwa nini nilimuoa/olewa na huyu ??..Ni kweli kwamba unapokuwa kwenye ndoa hutakiwi ku'regret' kwa kuishi na huyo mwenziwako???,,hebu tufahamishane kidogo hapa!!!
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  kujilaumu/regret ni jambo la kawaida kabisa katika maisha,unavyozidi kuwa mtu mzima ndo unavyozidi kujilaumu maamuzi ya ujana.Kuna kitu kinaitwa 'to wish you could bring the clock back'.Ni kawaida kabisa,live and let live!
   
 3. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Dah kweli kuna mambo mtu huwa una-regret ila ndo hvyo wakati mwingi unajikuta gharama za kurudi nyuma ni kubwa kuliko kuendelea. So tunakubali hata kama ni kwa shingo upande.
   
 4. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  yeah, hiyo ipo but life goes on unaangalia mbele ndo maana baada ya miaka 50 Ya uhuru pia tunajiuliza, kumbuka ni jambo la kawaida kujiuliza na pengine kuregret ila kubadili maamuzi hilo ni jambo la kuwa makini kama kuna umuhimu wa kufanya hivyo mazee.
   
 5. E

  Ekwilibriamu Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ..time can not be turned back, we only try to keep pace with it in making the 'so perceived' right decisions so there will be less regrets in future!!!
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  IMO kujilaumu ama majuto is really really boring.... Make choices tokana na jinsi unavoona ni the best way... if bahati mbaya results zikawa mbaya learn from them... learning from mistakes humfanya mtu awe wiser and stronger instead ya kulalama kua wajutia.... Kuhusu wapenzi... aina yoyote ya mpenzi umpatae... kama huyo si kituo basi jua in one way or another amekuandaa kua bora zaidi kwa future mpenzi...
   
 7. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kujilaumu au kujutia kupo sana maana kuna mengi hutokea tulipo na tulikotoka kama mtu kujilaumu kwa nini uliachana na fulani au kwa nini nimeolewa au kumuoa fulani na hii inatokana na maudhi au matukio fulani
   
 8. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ndio maaana na mimi nikawa najiuliza kama kujilaumu pekee inatosha??..
  Kama ni kawaida kabisa..do yo mean kwamba unaweza kujilaumu hadi mwenza wako akashtuka kwamba ..namboa mwenzangu????
  if that is the case..so???
   
 9. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  BUT JounGwalu ..sometimes inaweza tegemea na aina ya 'tatizo' linalokufanya uregret...
  What if gharama za kuendelea kuwa naye zitakuwa kubwa sana...mfano to live with somebody u alywayz hate!!!..
  Namaanisha.. how do u calculate the risk to carry on with and the risk to let it down???
   
 10. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Umakini unakuja pale unapofanya 'analysis' ya aidha uwe naye au usiwe naye?..is that ryte??
  and to me any decision taken is of good umakini...
  Pengine unapofanya tathmini as ulivyosema Tanzania nayo inajitathmini after 50 years of independence..Je? tathmini ya kwenye ndoa huwaga inalenga kukupatia nini???...as yet hata uamuzi huwezi chukua!!!
   
 11. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nilipobold dada Asha nahitaji msaada..
  kwanza..majuto siku zote yanakuja pale unapokuwa bored..sasa sidhani kama majuto yenyewe ni boring..do you mean kwa unayejuta kuwa naye au wewe mwenyewe mjutaji????..
  Pili, sidhani kama kuna..ex-ante evaluation kwenye mapenzi yeyote ama ya ndoa ama ya kawaida..so any choice made at the beginning huwaga inaonekana 'the best'..hapa unataka kusemaje??..how best is the best choice????..
  Tatu ..unataka kuniambia ..wapenzi wenyewe ndo wanaweza kuwekana vizuri???..yaan you become best alimradi tu uliye naye sio kituo??..sijakusoma hapa mwisho ulichokuwa unamaanisha??????
   
 12. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndo maana mi nimejikalia pembeni kuepusha msongamano!!
   
 13. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Do you think that will last forever???...
   
 14. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Sio dawa ya tatizo kulikimbia tatizo FB!
   
 15. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hii inaweza kupelekea kuwa ngumu sana kujibu kama unavyotaka......
  Kwanza ni lazima kama binadamu tukubali kuwa ni victim wa nguvu/matukio z/ya maisha.... ndio maana inasemwa na pia ndivyo ilivyo kuwa hatupo KAMILI!
  Kwa kujaribu kubalance post zako ni as if unatarajia tukupe situation ambayo haitaacha swali i.e UKAMILIFU... kweli??
  Ndio maana pia kuna falsafa nyingi tu za kujiliwaza ili maisha yaendelee as hatuwezi kuufikia UKAMILIFU mkuu
   
Loading...