Hivi ni kweli gharama ya dirisha la alminium ni 80,000?

run CMD

JF-Expert Member
May 31, 2015
2,825
3,133
kuna mtu amenidokeza kwamba dirisha ya aluminum standard size ni 80,000Tsh na si vinginevyo.

Je, kuna ukweli wowote.
 
Yeye ni nani? Hizo ni gharama kwa kuzingatia vigezo gani? Ama kuna bei elekezi kutoka wizara husika?
 
kuna mtu amenidokeza kwamba dirisha ya aluminum standard size ni 80,000Tsh na si vinginevyo
Je kuna ukweli wowote
Siyo kweli unless asikuwekee mosquito na akuwekee kioo cha 4mm badala ya 5. Au kwa bei uwe na madirisha mengi labda kuazia 40 na kuendelea.
Watu husema chochote tu.
 
Hiyo ni bei ya jumla ya Aluminium glass moja, sasa kanunue uje utengeneze mwenyewe uweke flame zake, ukate kioo, n.k

Ukiona biashara imefanyika jua tayari mmoja kasha umia
 
Sio kweli,nina mshikaji wangu anafanya hizo shuguli japo yeye bei zake kwangu tofauti na wengine.

Mfano wakati nataka kuweka milango 2 ya Aluminium ya futi 8/8 kwenye frem,mafundi niliowapeleka wa kwanza alitaka 700k kila mlango tukaongea mpaka bei ya mwisho 650k,wa pili 750 akaja mpaka 700k na watatu alisema 650k tukaja mpaka 600k...kipindi hiko jamaa alikua amesafiri na mimi nina haraka ila nilivyoona pesa inafika 1.2M ukiplus na mlango mdogo 300k ikabdi niwe mpole kumsubiri.

Aliporudi mlango mkubwa aliniwekea kwa 425k kila mmoja na mdogo 210k ,,hapo ndo akanambia amepata faida ila sio kubwa sema huwa wanaweka bei kubwa zaidi maana hizo kazi za msimu.
 
Hiyo ni bei ya Square meter moja ya dirisha la aluminium kwahio standard dimension ya dirisha lenye square
Meter
2.7 bei yake Ni 216000
 
Aluminium zimetofautiana sana...fanya research ya material alafu badae ukienda kwa fundi unamuuliza bei akwambie na material atakayoweka...
Simple ununue material alafu akutengenezee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom