Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,459
- 697
Asante wakuu.
Ngoja nimalize hii stock niliyonayo, sitaagiza tena.
Je ni asali ya wapi nitumie kwa hapa Tanzania? Mi ni mpenzi sana wa asali, ningependa nijue ili nianze kuagiza mapema kabla mzigo nilionao haujaisha.
Asali bora ni ya kutoka Nairobi au Arusha ambapo kuna maua natural na mengi ambayo nyuki hutoa necta huko.