Mheshimiwa waziri naomba umtumia Kipanya ujumbe kuwa aache kutania taifa hili la kibabe kwani asipoangalia atakuja kumwagiwa tindi kali na watu wasiopenda maendeleo ya taifa letu maana wanataka kututawala kwa ubavu na kukosolewa hawapendi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.