Na Ugomvi Wangu Mkuu Na Huyu MJEDA Niliyempa " NAKOZ " Za Kufa Mtu Ni Kitendo Chake Cha Kumpiga KIBAO Mshikaji Wangu Kisa Wanagombania DEMU Ndipo Nikamwambia Kijana Kuwa Akae Pembeni NIMFUNDISHE MTU ADABU Na Hakika Cha Moto KAKIONA. Halafu Nasikia Alivyoenda Kambini Kwao Kawaambia MASELA Wake Ili WAJE KITAA USIKU Leo Wanivizie Na Mimi Pia Nikatoa TAARIFA Huko Huko Kupitia MSHIKAJI Wangu MJEDA Mwenzao Kuwa Hata WAKIJA KUNDI KWANGU ILA WAKAE WAKIJUA KUWA VITA YA MKURYA HUWA HAIISHI LEO WALA KESHO Na Wakifanya MZAHA Hata Hiyo Kambi Yao INAWEZA IKAHAMA Hapo Kwa FUJO Zangu Za KUTUKUKA. Halafu Viaskari Vyenywe Ni Vidogo Lakini Vina SIFA KWELI Mkuu. Mbona WAKUBWA Zao Wengi Ni Washikaji Zangu Na Tunaheshimiana Iweje Hivi Vitoto Vya Juzi Vimefundishwa Tu Kugalagala Chini, Kuruka Vihunzi, Kutambaa Kama Mjusi Pori Katika Kamba, Kufyeka Hapo Lugalo, Kuruka Sarakasi Na Kufyagia Makambini Leo WAJIFANYE Wao Ndiyo JESHI KAMILI?