Hivi ni Kwanini Wanajeshi...

Siku zote katika medani ya kivita au muundo wa kivita wapiganaji ni askari na sio maofisa sasa we unataka wawe wapole ili iweje uwashike matoko au lazma wawe wakorofi ili kuweza kuhimili mapambano hata katika vita
 
Kuanzia no8 Hao ndio watekelezaji wa amri, na ndio wanaokabiliana na adui face to face (front line) nahisi hiyo tabia inatokana na mafunzo wanayopewa.
 
Una balaa wewe, humpati mtu huku.nadhani huyo uliyempa nakosi ni mkata majani ya ng'ombe wa Afande,si unajua wakiwa mitaani wanajifanya nao ni wale wale,sasa umemuokota kwenye kibanda chenu cha wanzuki ndio unakuja kutamba hapa.
 
Umpige mwanajeshi halafu ubaki salama? Thubutuuuu! Labda umekumbana na wale wanaovaa nguo za jeshi kwa wizi! Nakuapia ungegusa mjeda halisi sasa hivi ungekuwa unajambia mdomoni!
 
Haroo kichana naona umekosa nisamu, nitakutupa rupango na hakuna atakaekutoa.
 
Umpige mwanajeshi halafu ubaki salama? Thubutuuuu! Labda umekumbana na wale wanaovaa nguo za jeshi kwa wizi! Nakuapia ungegusa mjeda halisi sasa hivi ungekuwa unajambia mdomoni!

Nenda Pale Lugalo Sasa Hivi Ulizia Ni ASKARI Gani Leo Alipokelewa ICU Huku " Kolomelo " Lake Na " Ulimi " Vikiwa Havina USHIRIKIANO Na Mchana Akalazwa Kule Wodi Ya Akina Afande Joseph Na Medard? Kwanza Ngoja Niuliza Kama KAFA au Yupo Hai! Hivi Nikupige Ngumi Zangu Za KIKURYA ZILIZOTUKUKA Utapona Kweli Wewe? Mkome Kufakamia WANAMUME Tusio WANAJESHI Lakini Tunajua KUZICHAPA Kuliko Hata Nyie.
 
Una balaa wewe, humpati mtu huku.nadhani huyo uliyempa nakosi ni mkata majani ya ng'ombe wa Afande,si unajua wakiwa mitaani wanajifanya nao ni wale wale,sasa umemuokota kwenye kibanda chenu cha wanzuki ndio unakuja kutamba hapa.

Nenda Hapo Lugalo Kwenu Hospitali Kamtembelee MJEDA Mwenzio Kwani Kwa Kichapo Nilichompa Asipopata UKILEMA Wa Maisha Naacha RASMI Kushabikia Klabu Yangu Kipenzi Ya Liverpool FC. Kachezea Mno " Vitasa " Na Kamwaga Sana " Grisi ". Chezea MKURYA Weye?
 
Yaonekana wazi kuwa unahasira sana za kugongewa mke hakika hujampiga huyo mjeshi labda mlizozana tu kinyume cha hapo ingeshapigwa ambush ya maana hapo kitunda kwako na uache misifa
 
Hizi nazo ni sifa za kitoto,,mtu yeyote mstaarabu hana muda wa mambo hayo ya kipuuzi,,kwanza ugomvi unakuongezea shilingi ngapi kwa siku?
 
af uctake kuwatisha wa2 kuwaogopa wakurya, wakurya sifa yao kubwa ni wakorofi2 na kutumia mapanga na hawajashindikana kupigika. Hapa hakuna cha kabila wala nini,kama ni dep kila kabila linaweza kwenda dep na inajulikana waz aliemaliza dep anakua na sifa gan. Na ucjipe moyo et kama ulimpiga fulan unawaweza wote angalia ucje ukasoteshwa mpaka uwaone wanajesh kama simba wa mwituni. Na kama binadam 2ngekua bidhaa bas bidhaa ngumu ingekua ni ile iliopitia makutopola au msata...
 
Sio kweli hao uliotaja kwamba ni wastaarabu walianzia chini yaani private na walikuwa wakorofi ila baada yakupata motisha ndipo wakaachana na makundi ya wale wa chini na ukitaka ujue askari wengi wakorofi ni wale wageni kazini akisha fikia cheo kama cpl au sgt na kuendelea huwezi kumuona akifanya mambo ya kijinga
 
nakumbuka niliwahi kudoji foleni nikajificha uvunguni luteni akanikamata ila hakunifanya kitu akaniambia nikaitike jina.....kama angekua private siku hiyo nahisi ningekula kazi za kibeto mpaka asubuhi,hio ni kawaida hata makazini unakuta mfungua geti mnaa kuliko bosi wake.
 
Wewe jamaa leo umekuwa MKURYA, baadae utasema ni MTUTSI.
 
Wewe polisi uliwahi kukanyaga monduli au ulihadithiwa tu?
 
wanaitwa wapiganaji au ukipenda wafukuza upepo..au men! kule bandarini umeshawahi kuwaona makuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…