Hivi ni Kwanini Wanajeshi...

kwenda..
 


Ni kama vile manyumbu na bosi wao fisadi Lowasa, yeye siyo mshari wala mgomvi mgomvi ila shida ipo kwa wafuasi wake mitusi mtindo mmoja hivyo ni kawaida!
 
Kozi ya officer cadet inamjenga kamanda kuwa kiongozi bora wakati kozi ya askari mwanafunzi inamfanya askari kuwa asiyeogopa chochote, aliyevurugwa, na mwishowe chizi fresh so kama ataendelea kuwa askari basi tegemea kuendelea kwa uchizi wake lakin kama atapata nafasi na kwenda monduli basi huko atakuwa rectified !
NB; hizo za hapo juu ni pumba tu ! Kitu tofauti kati ya officer na askari wa kawaida ni elimu..
ndiyo inayeta utofauti wa kitabia..

Ubavu
 
umetisha mzazi wape somo wasiojua
 
Heeee ! Hatari..
 
Delete away your thread kabla hujachafua hali ya hewa, umekurupuka kuandika usichokijua
 
Kumbuka hao wenye sifa za kuanzia namba 8-14 ndio jeshi lenyewe so they deserve such behaviors/ characters, maana kikinuka lazima wanaanza wao, ila hao wengine numbers 1-7 wataishia kuita kwenye radio calls.
 
Swadaktaaaa
 
Mkuu utafiti wako ni mzuri. Hao wasio na vyeo wasumbufu utafikiri wao ndio maamiri jeshi wakuu. Wasumbufu sana mitaani na ni wachokozi. Halafu hawana nguvu wakipigwa wanaenda kuitana na kuja kundi. Ugomvi wao mwingi ni kunywa pombe bila kulipa na kugombea wanawake wakizidiwa na raia ndio inakuwa shida
 
Kumbuka hao wenye sifa za kuanzia namba 8-14 ndio jeshi lenyewe so they deserve such behaviors/ characters, maana kikinuka lazima wanaanza wao, ila hao wengine numbers 1-7 wataishia kuita kwenye radio calls.
Na pia akae akijua hawa ni askari wa vita sio askari wa wanyama pori sasa kama unakuwa na askar wa vita mdebwedo watasonga mbele kweli?
 
Reactions: bdo
kwa jinsi tu ulivyoandija nimegundua wewe ndiye ULIYEPIGWA pole sana.
 
Afadhali mmegundua hilo.hawa wanajesh darasa la saba na form four kwakweli hawajitambui yaani wao ni vurugu tu.dah...
Nahisi elimu yako wewe ni darasa la pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…