Hivi ni kwanini vitu hivi viko kwa wanajeshi?

Ila je wanarogeka ? !!!

liafande rimke si ritakuwa rimekomaa hilo?!! naniliu itakuwa ngumuuu !! sijawahi ona ke mwanajeshi wameolewa na raia !! au wanaogopa kula vitasa!.... utashitaki wapi umepigwa na Manzi?? ok! akienda polisi amevaa ki raia!! utachekwa mpaka ujifie!!!

Mbaya zaidi mjeda!! polisi tu hatii team!! sasa oa mke wa pili uone!! muuunganishwe kwa kipigo!! utakimbilia wapi na huyo wewe umeoa siri ya nchi? ole wako akufuate huko ukimbizini!!! heee!

make si mazoezi yale wajameni !! kila mara ke na me' bila kujali wanachimba mitaro kwa Mananiliu!! Tena faster! mweee!!!

hapo hapana ai see!! JWTz mniwie radhi!
 
Jua kwamba watakacho kifanya sio kwa long term ni kwa matumizi ya muda mfupi, ili serikali ijipange na solution ya muda mrefu.
mfano wakijenga daraja lililokatika wabongo mnataka kutumia milele, ndio maana hayadumu
 
Utatupa rushwa muda gani iwapo ukisogea kijinga jinga tulipo unachimbwa beat
 
Mtoa maada unawajua vizuri hao jamaa au unawasikia! Hakuna wapole huko na kujishusha hawawezi na ndio maana hapa mtaani wanapigika sana huko bar wanapigwa sana ktk harakati za kugombea mademu ila jamaa wana umoja sana,akipigwa mmoja inakuja team
.Jamaa ni wepesi ila nashangaa mnavyowaogopa
 
Mara nyingi wanapokea mshahara bila ya kufanya kazi, ni nadra kuwakuta wana kazi wanayofanya.
 
Encryption
 
Uzalendo Uzalendo Uzalendo hicho ni kitu muhimu Sana.
Lakini pia Umoja na Mshikamano. Ukichoka nitafanya kwaajili yako bila hiyana hali hii itaondoa uchovu wako na kukupa nguvu ya kuendelea ama kuanza upya. Mafunzo mengi wanayapata JKT. Hawafundishwi biashara mzee kwaiyo hawafanyi Kazi waki demand faida hali hii inaondoa tamaa inayopelekea kuomba Rushwa. Sijasema kada nyingine zinaomba Rushwa kwasababu ya wamefundishwa biashara No ila jamaa wanajengwa kiakili kuwa utakachopewa ndio Stahiki yako kutoka kwa Nchi yako. Neno JESHI LA WANANCHI lina maana kubwa Sana kwao. Muulize aliepita Monduli
 
Kuna mambo mengi ndani ya jeshi. Hayo uliyotaja ni yale unayoyajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…