Hivi ni kwanini tusijenge Ikulu mpya?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,883
43,773
Natamani tudesign Ikulu upya kwa kutumia ma-designer wazalendo ili tuachane na muonekano wa kikoloni (am sure wanajisifu huko walipo kila waonapo ikulu yao). Tena ijengwe location ile ile. Hapo vipi
 
Nje panaonekana pa kibabu lakini ndani mko superb,ingia ukumbi wa mgawanyiko pale kata kona vyumba vya mikutano,bustani etc iko powa kabisa mzungu alifanya kazi nzuri....Kama tutasimamia hoja hiyo tutabomoa kila kitu cha mkoloni kuanzia reli,miji kongwe kv b'moyo na zbr, nk...by the way hata hizo modern designs utatumia teknolojia ya huyo huyo mzungu Sie zetu ni tembe na mgongo wa tembo labda useme hizo ndo tukajenge pale
 
Labda tutafute mfadhili atupe msaada wa kujenga. Ila mimi naona hii ya mjerumani yatosha
 
Natamani tudesign ikulu upya kwa kutumia ma-designer wazalendo ili tuachane na muonekano wa kikoloni(am sure wanajisifu huko walipo kila waonapo ikulu yao). Tena ijengwe location ile ile. Hapo vipi


Mawazo hayana maana kwa hakuna kitu kama designer wa Kitanzania/Kiafrika hivyo hata hiyo mpya pia aidha itakuwa ya kizungu /Kiarabu au Kichina, hivyo hakuna kitu tutakuiwa tumefanya!

Ningekushauri labda kwa kuonyesha mfano uanze kwanza na jina lako, hapo vipi?
 
tuongeze ikulu tuzidishe na nyumba za tembe, ahh kweli majipu kila kona mtamlaumu jpm bure tu
 
Duh Joka la Makengeza akikusikia lazima akenue meno maana atapiga pesa ndefu kwenye michongo kama hii yeye ndio mjanja wao
 
Wakijenga engineers wetu itaonekana kama shule ya msingi ya kata. Pili itakua ni ufujaji wa pesa. Tatu Ikulu si majengo tu ni zaidi ya hapo
 
Wakijenga engineers wetu itaonekana kama shule ya msingi ya kata. Pili itakua ni ufujaji wa pesa. Tatu Ikulu si majengo tu ni zaidi ya hapo
Wape tender uone kazi yao itakuwa ni shule ya kata au ikulu
 
Natamani tudesign Ikulu upya kwa kutumia ma-designer wazalendo ili tuachane na muonekano wa kikoloni (am sure wanajisifu huko walipo kila waonapo ikulu yao). Tena ijengwe location ile ile. Hapo vipi
Watu hawana dawa wewe unawaza ikulu mpya?huna tofauti na mobutu wewe
 
Hivi huu ni wakati wa kutoa wazo kama hili? Je, jpm anaweza kulipa kipaumbele wazo hili wakati huu? Awaye yeyote atakayeuza wazo hili kwa jpm lazima atatolewa nduki. Wakati matatizo yapo kibao- madawati, madarasa, madeni ya nje na ndani na mengine mengi wewe unawaza ikulu mpya? Duhh!! Labda kwa el lakini si jpm ambae atakutumbua tu.
 
Aliweka huu uzi haendani na falsafa ya JPM ametumwa na wale pimbi wanootea jua na kusubiri chakul
 
Back
Top Bottom