Kimya ni bora kwa marehemu, isipokuwa pale ambapo kusema ukweli kuna maslahi ya haki.Kipindi akiwa hai watu hulalamika hafai, mbaya ila akifa sifa lukuki.
Au ndio marehemu hasemwi vibaya.
Je ni sahihi binadamu kuwa aliwatendea mema watu wote?
Uhuru wa maoni wa kusema huyu mimi alikua mbaya kuliko wote upo?