Unapofunga ni Lazima Ujaribiwe na Shetani ndivyo ilivyokuwa kwa Yesu kule Mlimani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,033
Tunafunga Ili kufanya Toba kwa Mungu wa mbinguni tuweze kusamehewa Dhambi zetu

Tunafunga Ili kufanya miili yetu ichuje Sumu ambazo ndio Dhambi za mwilini hivyo hatutakiwi kula sana wala kubadili usiku kuwa mchana

Tunafunga Ili kuponya roho zetu baada ya kupokea msamaha kutoka kwa Mungu wa mbinguni

Funga ya kweli ni Lazima Shetani akutembelee ili akujaribu kama kweli umefunga au umeshinda tu bila kula

Kwaresma Njema

Ramadan Kareem 😄
 
Ila tunaambiwa kipindi hiki cha mwezi mtukufu shetani anakuwa amefungwa na minyororo na kufichwa kabisa, sasa huyu shetani anaetujaribu anatokea wapi tena?
 
Tusifananishe funga ya Yesu na funga za wahuni wengine.

Yule jamaa hakufunga ili asamehewe dhambi,alfunga kujiandaa na kazi iliyokuwepo mbele yake.
Shetani Kwa mazoea yake akajua njaa ni turufu muhimu kumuingia Yesu,asijue msosi haikua issue kwake maana jamaa hakuwa kagusa kitu siku 40.

Basi na sisi tunatakiwa kujua kwamba kufunga si ili kusamehewa,ni kujishape kupokea majibu ya sala tulizoomba ama tutakazoomba.
 
Heshimu Imani ya wenzio. Kuwaita Wahuni haikuongezei umaarufu unaotafuta.
 
Sasa hawa wavaa kobazi mbona huwa wanaogopa kujaribiwa na bwana shetani ndio maana baadhi ya maeneo wanapiga marufuku kula hadharani kwa mtu ambae hajafunga
 
Back
Top Bottom