Hivi ni kwanini Damu haina rangi ya blue..?!

Hivi ni kwanini Damu haina rangi ya blue..?!

hivi nyie mnaagiza vyakula toka nje wakati hivyo vitu ndani vipo ,vitu kama sukari,kuku kwanin hamuagizi cha malawi kikapatikana happa town vichwa vya panzi tukawakatia tiket za mirembe,agizen bwana msiogope mbona rizla zinauzwa madukani na tra wanavuta kodi
 
Damu ni nyekundu kwa sababu inaundwa na chembechembe zilizo nyekundu.

Chembehai nyekundu zimetengenezwa na hemoglobin, ambazo zimetengenezwa na hemes, ambazo huipa hemoglobin rangi nyekundu.

UCSB Science Line sqtest
Vizuri! ila kuna mdogo wangu hapa ananiuliza eti.., hiyo hemes ikiwa na rangi ya blue kuna ubaya kwani.., anapendelea angalau hemes zenye rangi ya kijani..!!! hahah..., jus kidding.., big..up!
 
Vizuri! ila kuna mdogo wangu hapa ananiuliza eti.., hiyo hemes ikiwa na rangi ya blue kuna ubaya kwani.., anapendelea angalau hemes zenye rangi ya kijani..!!! hahah..., jus kidding.., big..up!

Mwambie rangi ya bluu ilishawahi kutamalaki angani na majini, hivyo huku kwenye dunia hususan nchi kavu imeziachia rangi nyingine.
 
Damu ni nyekundu kwa sababu inaundwa na chembechembe zilizo nyekundu.

Chembehai nyekundu zimetengenezwa na hemoglobin, ambazo zimetengenezwa na hemes, ambazo huipa hemoglobin rangi nyekundu.

UCSB Science Line sqtest

kama chembe hai nyekundu zimetengenezwa na hemes, ni kitu gani au nani basi amefanya, ameunda, ametengeneza au ameumba hivyo vyote vitokee?
 
kama chembe hai nyekundu zimetengenezwa na hemes, ni kitu gani au nani basi amefanya, ameunda, ametengeneza au ameumba hivyo vyote vitokee?
Mi huwa najiulizaga mpaka natoka machozi ndani ya ubongo, ila nimeona niache tu.., unaweza kupata uchizi bure..
 
Mwanzoni damu ilikuwa nyeupe kama theluji lakini baada ya dhambi za ulimwengu huu damu ikageuzwa kuwa nyekundu ili kuwafanya wanadamu wakumbuke kutubu.
 
Rangi hiyo nyekundu ingeweza kuitwa blue, njano, nyeusi, nyeupe n.k au rangi yoyote ile ingewezakuwa na jina la rangi nyingine yoyote ile sabu neno au jina ni kitu nasibu( bahati). Mf Engl Red - kisw nyekundu, yellow-njano, green-kijani na n.k. Pengine wewe ulidhamiria nini? sababu kama kuna kunakitu ndani umekidhamiria na mjuaji ni wewe pekee hebu tuchane makavu mkuu.
 
hapa issue sio jina..., ni ule wekundu wadamu ndio huwa unatisha sana.., sio jina la rangi..
 
hapa issue sio jina..., ni ule wekundu wadamu ndio huwa unatisha sana.., sio jina la rangi..

Ok kwa hilo mi nadhani pengine kuna matukio au kitu kibaya kinachohusisha umwagaji damu huwa unakumbuka pindi unapoona damu iliyotoka nje. Vinginevyo nikama member mmoja alivyosema kuwa panzi ana damu ya kijani, hii ni kuonesha utofauti wa viumbe mbalimbali vilivyohai na wewe kama binadamu kupangiwa damu ya rangi hiyo pamoja na wanyama wengine.
 
Binafsi nilikuwa napenda niwe na rangi ya blue.., au atleast ya kijani, hata njano sio mbaya sana.., lakini nyekundu hunitisha sana hasa ninapoiangalia. hivi hakuna uwezekano wowte watu tukawa na damu za blue eti?

uwezekano upo mkubwa sana. We fikiria wanaojichubua mpaka wanakuwa weupee kweli itashndkana damu kuwa ya blue?
 
Back
Top Bottom