Ranging ya blue ingekuwa poa sana..Sasa niambie ulitaka always ziwe na rangi gani?
Binafsi nilikuwa napenda niwe na rangi ya blue.., au atleast ya kijani, hata njano sio mbaya sana.., lakini nyekundu hunitisha sana hasa ninapoiangalia. hivi hakuna uwezekano wowte watu tukawa na damu za blue eti?
kuna vitu vingi sana si vizuri kwa afya ya mwanadamu kimojawapo ni bangi, bangi inaathiri afya ya akili
Habari,
Sisi viumbe hai tunaoishi kwenye hii sayari na nchi kavu tuna aina ya damu yenye rangi nyekundu kulingana na utegemezi wetu wa hewa ya oksijeni na uwiano wake wa kiujazo katika hewa yenyewe.
Rangi yetu ya damu ni nyekundu kutokana na elementi iliyo ni madini ya chuma na elementi chuma kama zilivyo elementi zingine zinazonasibika kuweko katika kundi 'transition elements', pia kuitwa 'd-block transition elements'(elementi zenye kuweza kubadilika nguvu ya kuunganika na nyingine ili kufanya kampaundi; na hivi kuweza kuathiri 'muundiko wa kikemikali' na tabia ya kampaundi yenyewe inayoishia kufanyika.)
'Transition elements ' zote zinatabia ya kufanya kampaundi zenye rangi. Chuma hufanya kampaundi za rangi nyekundu ama nyekundu-kahawia; Shaba, (Copper, Kng-- Cu) hufanya kampaundi za kibluu ama kijani bluu...
Fomula ya kampaundi ya chuma yenye kuzipa damu zetu rangi nyekundu, Hemoglobini, ni karibia ile ile kwa kampaundi inayofanya usanisi wa mwanga-- Klorofili, isipokuwa pahala pa elementi ya chuma huchukuliwa na elementi ya Magneziamu. Klorofili huleta rangi ya kijani kwa mimea. [1]
Vipo viumbe vyenye damu ya kijani na hata ya bluu. Na hivi kimsingi huwa na damu ya msingi wa elementi ya shaba na si chuma. [2]
Pia kama unafuatilia matukio ya kuokotwa kwa miili ya viumbe vilivyopata ajali duniani na visivyo na asili ya dunia hii, taarifa zilizopo kulingana na wachunguzi, ni kuwa-- baadhi ya hivi viumbe miili yao ina damu yenye misingi ya elementi ya shaba na hivi kupendekeza picha ya kwamba sayari zao enyeji huenda zina hewa ya oksijeni kiasi (haba, kwa kuwa shaba inaufanisi zaidi wa kubeba oksijeni kuzunguka miilini) tofauti na hapa kwetu. Sehemu kubwa ya hewa sayarini kwetu inafanywa na Naitrojeni kwa takriban 78%, kufuatia Oksijeni 21%, kiasi kidogo kubaki kufanywa na gesi nobeli (Noble Gases, gesi zinazojikidhi na kutohitaji kufumaniana na nyingine) na daioksaidi ya kaboni. [3]
***
Rejea
(1)
Chlorophyll, Hemoglobin and Hemacyanin:
The Three Molecules of Life
Chlorophyll, Hemoglobin and Hemacyanin: The Three Molecules of Life
(2)
What Animals Have Copper-Based Blood?
What Animals Have Copper-Based Blood? | Animals - PawNation
(3)
Alien Races
Alien Races
Ulikua wapi mzee niliwahi kuandika humu jf kwamba ,jua sio moja tu hili tunaloliona ,yapo majua mengine na yana solar system zake, na viumbe vyake wa huko ni tofauti kutokana na hizo solar system zinazowazunguka ,wapo viumbe wa rangi nyingi tu blue kijani kijivu nk, na hata viungo miguu mi 3,au 4 macho 3 au 4 na damu rangi tofauti za blue kijani nyeusi nk, wapo waliotuzidi maarifa na wapo tumewazidi maarifa, nikajibiwa naangalia sana movie za star trek hakuna kitu kama hicho, nikauliza mwisho wa ulimwengu ni wapi
Excellent..!Habari,