Hivi ni kwamba tuko akilini mwenu sana au?

Hivi ni kwamba tuko akilini mwenu sana au?

Kajukuu karena, MMU ndiyo kitovu cha hii dunia... Mko akilini mwetu sana na sie tuko akilini mwenu sana. Ndiyo maana ukaanzisha uzi huu kabla ya breakfast!

Nakushauri ujifanye msomaji na kupita tu kama akina BADILI TABIA, evelyne Salt na wajukuu wengine...

Ukichukulia kila kitu kwa makini unaweza kuokota makopo bure!

Shkamoo babu Asante nimekupata
 
Last edited by a moderator:
laiti wanawake msingepewa papuchi... sijui mngemsumbua nani akili... yaaani sijui
 
laiti wanawake msingepewa papuchi... sijui mngemsumbua nani akili... yaaani sijui

Kama wangenyimwa, wewe ungepe kidude chako kwa kazi gani? Hivi kufuli isiyo na funguo ana maana yoyote?
 
Wana option sasa, wasipotunywa watatuoga, kutufulia au kutupikia[emoji126] [emoji126] [emoji133] [emoji133]

kuna aina nyingi za Maji.. Maji ya bomba Hayawezi kuwa Ya mto na Maji ya Bahari Hayawezi kuwa ya Ziwa.. Huo ndio Utofauti wenu so tunaangalia ni yapi maji stahiki ktk kuoga na kunywa. Siwezi kunywa maji Ya bahari wala kuoga maji ya mto Msimbazi liweke Akilini mwako
 
Teh habari mnayo, wengine hata hayo maji ya msimbazi wanayatamani maskini. Mtatuita tu "mma"
 
Back
Top Bottom