Hivi ni kwamba tuko akilini mwenu sana au?

Hivi ni kwamba tuko akilini mwenu sana au?

Kajukuu karena, MMU ndiyo kitovu cha hii dunia... Mko akilini mwetu sana na sie tuko akilini mwenu sana. Ndiyo maana ukaanzisha uzi huu kabla ya breakfast!

Nakushauri ujifanye msomaji na kupita tu kama akina BADILI TABIA, evelyne Salt na wajukuu wengine...

Ukichukulia kila kitu kwa makini unaweza kuokota makopo bure!
 
Last edited by a moderator:
Humu MMU mada ikianzishwa ya kuwaponda wanaume sijawahi kubahatika kuona wanawake wakiwa upande wa wanaume..Ila ikiletwa mada ya kuwaponda wanawake,Ni kawaida kuona wanaume wakiwa upande wa wanawake...

When did that ever happened? Au mie mgeni humu?
 
Kajukuu karena, MMU ndiyo kitovu cha hii dunia... Mko akilini mwetu sana na sie tuko akilini mwenu sana. Ndiyo maana ukaanzisha uzi huu kabla ya breakfast!

Nakushauri ujifanye msomaji na kupita tu kama akina BADILI TABIA, evelyne Salt na wajukuu wengine...

Ukichukulia kila kitu kwa makini unaweza kuokota makopo bure!

Shikamoo babu
 
Last edited by a moderator:
Mimi nitawafulia ndio stahili yenu.
aww what an honor, we are still useful to you. Me Nikajua hututumii kabisa, kumbe tunakusafishia hadi mashati unayochafua na mgutambi wako
 
Back
Top Bottom