Purple
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 2,027
- 935
- Thread starter
- #41
Hunishawishi nikubaliane na wewe! Zamani wakati kulikuwa na maadili hii kitu ilikuwa inawezekana ila kwa sasa sio kweli! kwa hesabu za haraka angalia mfano wa wasanii wetu mtu alikuwa miss kisha akaingia kwenye uigizaji akawa na mwimbaji anaitwa kaamka! mara na almasi kabla ya hapo unaambiwa alikuwa na kanu! Acha wale wanaopiga kimya kimya!
Ukija kwa yule binti anaenda kwa jina la eliza kwa umri wake mpaka afikie miaka 30 jinsi atakavyokuwa ametumika kama ni simu ukiiwasha inakuambia insert SIM card wakati SIM card ipo ndani!
MS kila binadamu ana tabia yake,hatuwezi kufanana wote!sometimes unachokiona sahihi kwa mwenzako kinaweza kua wrong and vice versa