Purple
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 2,027
- 935
Katika maisha yangu nimeshuhudia wanaume wengi wakiwasaliti wapenzi/wake zao, na pindi wapenzi/wake zao wanapogundua wengi wao huwasamehe na maisha huendelea. Lakini kosa hilohilo(usaliti) linapofanywa na mwanamke,wanaume hua wagumu sana kuwasamehe na mara nyingi mahusiano huvunjika..
Nimekua nikijiuliza ni kwa nin wanaume wengi hua wagumu kusamehe especially kwenye kosa la usaliti na wakati wao ni mabingwa wa kukosea na kusamehewa??
Just curious!
Nimekua nikijiuliza ni kwa nin wanaume wengi hua wagumu kusamehe especially kwenye kosa la usaliti na wakati wao ni mabingwa wa kukosea na kusamehewa??
Just curious!