Hivi ni kuna uweli kwamba wanaume nao husengenya?

Kuna makundi ya wanaume kutokana na nature ya kazi zao ni wambea kupita kiasi,kwani kazi hizi huwafanya kuwa idle muda mrefu.Mfano Walimu,maaskari,walinzi,maderevank.
 
NAKIRI HIVI HUWA WANAUME WASIKUHIZI NIWAMBEA SANA SI MJINI AU VIJIJINI MIMI KUN A MWANAUME ALINIZUSHIA KITU AKAKITANGAZAWEEEE CHENI IKaRUDI KWANGU WANAUME NIWAMBEA SANA SANA I CAN PROVE BEYOND REASONABLE DOUGHT
 
Back
Top Bottom