Hivi ni kujali au kutojiamini

Hivi ni kujali au kutojiamini

Teh teh unajua umenichekesha sana, ni kuitojiamini nadhani unaona sijui ataniona nakula sana au ataniona nakula vibaya, hata kwa wanawake wengi wana aibu kula mbele ya wapenzi wao,ila mimi kwenye kula sijivungi ninakula mpaka mfupa wa mwisho sijazoea maisha ya kuigiza.
Wala.sio mchaga,na hata kama akiwa mchaga siwezi kuogopa yeye kutumia hela yangu ndo maana nipo nae,tatzo siwez kula yani ntamuachia yeye,hata kama atsema ameshiba ntamlazimisha ale wakat mi mwnyw nina njaa
 
ina maana anamaliza sahani yake halafu anakula na ya kwako?
 
mapoz hayo hakuna kutokujiamin wala kujali... unajifanya gentleman wakati tumbo bado mshale wake geji hata kati haujafika....
 
Sijaelewa....mnakuwa
mnakula kwa hoteli au..?? Kama ni hotelini si kila mtu anakula sahani
yake? Unampaje yeye nafasi ya kufaidi wakati kila mtu ana sahani yake??
Au mi sijaelewa unamaanishaje?

nikimpenda mtu haijalishi tuko wap namlisha mwanzo mwisho wahudumu wanabaki hoi.
 
Hujashikwa na
njaaa wewe! Mimi mwenyewe nilikuwa najiona siwezi kula mbele ya macho ya
watu,siku moja mshkaj wangu akanipeleka kwenye sherehe ya company
anayofanya kazi,Jamaa akanipitia asubuhi hata chai sikunywa kufika
kwenye event nikakuta watu washamaliza kugonga supu hapo njaa
inaniumajeee.
Mida ikaenda mi nagugumia mijuice tuu ulipofika muda wa kula ilikuwa ni
self service nilihakikisha nachukua kila kipengele
ubwabwa,nyama,samaki,kuku,pilau,chapati,keki yaan everything sahani
imejaa hiyoooo,kutoka meza za vyakula hadi nafika sehemu tuliyokaa
masistaduu na masharo full kunishangaa nafika kwenye meza yetu washkaji
wanatamani tubadilishane sahani(maana wao walijipimia kama wanafanya
diet mxiuuuuuuu) huwezi amini nilikula huku watu wote mezani na pembeni
wamenitolea mimacho nikashushiaa na juice 1litre swaaaaaaf

aiiiiiii nimecheka sana mbavu zangu mieeee
 
Tatizo unavaa uhusika usio wako mkuu..... pole sana
 
mapoz hayo hakuna kutokujiamin wala kujali... unajifanya gentleman wakati tumbo bado mshale wake geji hata kati haujafika....

huyo njaa inakuwa haimuumi aiseee mimi sivungi kula naweza kuvumilia nisinywe ila kula ni jambo lingine kabisaaa
 
kuna bro alijinunulia chips kuku cafeteria kakaa meza ya watu wa4 pekeyake ghafla wakatokea classmates wake was like ma-kyutiiii wa-supaa kichizi braza akaanza kugwaya wakakaa nae bro si alijikuta anakula kuku na kijiko!ni kama hakula kabisa.akawa anawasikilizia wasepe hawasepi ikabidi ainuke tu ila anaonekana inamuumaje
 
Heeee akaacha msosi?? Katika vitu huwa sijivungi bas ni kula
 
Heeee akaacha msosi?? Katika vitu huwa sijivungi bas ni kula

aliacha.Mimi walinikuta nimenunua wali kibua nkaenda nkanawa mikono nije kumfaidi vizuri ilibaki mifupa tupu.wakawa wanashangaa ninavyokitafuna kichwa cha samaki kama wananilipia wao vile nkamaliza nkasepa wakasimuliane.
 
Back
Top Bottom