Hivi ni kipi bora!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kipi bora!?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Chabo, Dec 8, 2011.

 1. C

  Chabo JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 744
  Likes Received: 208
  Trophy Points: 60
  Habarini nyote.
  Naomba ufafanuzi juu ya madirisha ya alumminium.nasikia kuna ya kichina(feki) na ya dubai(mazuri).maana nimepeleka oda yangu pale kwa wachina wa good one nimewauliza hawa mafundi wa mtaani wanasema sio mazuri(yanapauka baadae).kama kuna ambaye amewahi kufanyiwa kazi na hao good one naomba ufafanuza tafadhali.
  Ahsanten
   
 2. C

  Chabo JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 744
  Likes Received: 208
  Trophy Points: 60
  Mbona kimya jamani.niko serios
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,357
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  kuwa na subira wenye experience watakuja tu, si unajua siku yenyewe?
   
 4. C

  Chabo JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 744
  Likes Received: 208
  Trophy Points: 60
  he!jamani mpaka leo?au ndo siku yenyewe?
   
 5. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,929
  Likes Received: 1,938
  Trophy Points: 280
  tuwasubiri wenyewe waja mkuu
   
 6. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,695
  Likes Received: 1,121
  Trophy Points: 280
  nenda gerezani pale uliza jamaa anaitwa kibolibo .... Ni mzuri
   
 7. C

  Chabo JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 744
  Likes Received: 208
  Trophy Points: 60
  sio hivyo mkuu.mm nahitaji kujua tofauti ktk grade na qulity ya allmn.
   
Loading...