isaryalande
Senior Member
- Jan 17, 2014
- 113
- 15
Wanajamvi Hivi ni haki kama mtoto hajamaliza kulipa ada kumzuia asifanye mtihani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani, si ada zilifutwa! Au mimi ndo sielewi?Wanajamvi Hivi ni haki kama mtoto hajamaliza kulipa ada kumzuia asifanye mtihani
Sent using Jamii Forums mobile app
hairuhusiwiWanajamvi Hivi ni haki kama mtoto hajamaliza kulipa ada kumzuia asifanye mtihani
Sent using Jamii Forums mobile app
International!Shule gani hyo darasa la 7 wanalipa ada?
Hivi nyiebmnasomeshà ama? Wasiolipa ada ni Kayumba schools private ni ada kama kawa.Jibu swali acha kuonhezea maswali.Jibu,,kama baadhi walivyojibu hapo juu,hairuhusiwi kumzuia mtoto kufanya mtihani,wakijaribu nenda kwa mratibu elimu kata au afisa elimu atawajia na polisi.Madeni yenu mtalipana wenyewe bila kumuathiri mtoto.Kuna shule wanalipisha laki na thelathin elfu eti graduation ,nimewambia siihitaji hyo graduation.Shule gani hyo darasa la 7 wanalipa ada?
Achana na international kwanza zipo chache tuu hapa zinazotumia syllabus ya Cambridge,the rest ni English Medium tuuu na syllabus ni ya NECTA tuu.International!
Mbona umetokwa povuHivi nyiebmnasomeshà ama? Wasiolipa ada ni Kayumba schools private ni ada kama kawa.Jibu swali acha kuonhezea maswali.Jibu,,kama baadhi walivyojibu hapo juu,hairuhusiwi kumzuia mtoto kufanya mtihani,wakijaribu nenda kwa mratibu elimu kata au afisa elimu atawajia na polisi.Madeni yenu mtalipana wenyewe bila kumuathiri mtoto.Kuna shule wanalipisha laki na thelathin elfu eti graduation ,nimewambia siihitaji hyo graduation.
Sent using Jamii Forums mobile app