Hivi ni COVID19 au COVID-19?

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Habari wana jukwaa.

Tangu kuibuka kwa hili gonjwa linalosababishwa na virus vya Corona binadamu kote duniani wamekuwa wakiweka jitihada mbalimbali za kupambana na ugonjwa huo ili kuhakikisha umetoweshwa kabisa.

Lakini tangu wanasayansi waupe jina huu ugonjwa kumeibuka mkanganyiko mkubwa wa jinsi ya kuandika hilo jina .
Kuna kundi la watu wanaandika COVID-19( yaani COVID dashi 19) na kundi jingine wamekuwa wakiandika COVID19.

Je yupi yupo sahihi hapo?

Karubuni kwa mjadala.
 
Kwa mujibu wa WHO ni Covid19, hii Covid-19 ni mbwembwe2! Uthibitisho sikiliza inavyo tamkwa, huwezi sikia covid dash 19 ! Utasikia Covid19! Umenisoma?
 
Back
Top Bottom