Hivi ni bank gani inalipa mshahara mdogo ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni bank gani inalipa mshahara mdogo ?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by PayGod, Sep 19, 2010.

 1. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wadau mimi , napenda sana kufanya kazi, bank ila nasikia kuna baadhi za bank zinalipa mshahara mdogo kuliko hata wa mwalimu wa shule za serikali.Naomba kama mtu analifahamu hili anifahamishe ili wakati naomba kazi niombe kwenye bank iliyo sahii.
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Sep 19, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Level yako ya elimu please, natumai wadau watakusaidia
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa kuanzia nasikia lazima usote kwenye uteller then ndo kitaeleweka.
  So far ata kwa level ya degree mishahara ya bank nyingi Tanzania ni midogo ndo maana vijana wanaishia kuiba kama NBC na Barclays walivyofanyiwa.
  Daily unacheza na not less than 100000000 alafu kwa mwezi wanakupiga laki 3
   
 4. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Bcom accounting
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Sep 19, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  mkuu nmb,nbc,crdb nasikia wanaanza na 400,000, ila kuna mabenk yanajitahidi kama exim, baclays, nasikia 600,000 hadi 1m
   
Loading...